Sara kimario binti anaedaiwa kubakwa na polisi akifanyiwa mahojiano nje ya kituo cha ITV/Radio one mikocheni akiwa hoi kutokana na kushindwa kukaa kwa madai ya kuingiliwa kinyume na maumbile na polisi
Sara akiwa amelala akiugulia maumivu makali kwa madai yake kuwa alibakwa na polisi
Sara akipandishwa kwenye gari kupelekwa hospitali kwa ajili ya matibabu
Binti mmoja amemlalamikia Polisi
wakituo cha Oysterbay Jijini Dar es salaam kwa madai ya kumfanyia kitendo cha
unyanyaswaji wa kijinsia baada kufika kituoni hapo kupata msaada wa kiusalama
juzi Jioni, Binti huyo ambaye alikuwa anaumwa baada ya kuingiliwa kinyume na
maumbile alifanyiwa kitendo hicho kwamara nyingine na Polisi wakituo hicho
Blog hii inafuatilia zaidi kujua
kama nipolisi ndiye aliye fanya kitendo hicho au mazingira yenye ukweli na
tukio hilo, kwani binti huyo alienda kama muitaji msaada nasi mtuhumiwa wakosa
lolote,
Akiongea na Blog hii dada huyo
ambaye anaitwa Sara Julius Kimario alielezea kuwa tukio la kugeuzwa kinyume na
maumbile na Polisi huyo, lililomkuta baada ya kutoroka kwa mama ambaye alikuwa
akimtumikisha kwa shuguli za Ngono katika danguro moja huko Mwananyamala
Sokoni,
Binti huyo alidai kuwa Polisi huyo alimuahidi ange mnunulia chakula na kumtafutia mahali pakulala lakini haikuwa hivyo bali alimtendea unyama huo na kuondoka zake bila kumpa msaada wowote, binafsi aliamini angeweza kumsaidia kwani alikuwa akiumwa na ananjaa sana
Binti huyo alidai kuwa Polisi huyo alimuahidi ange mnunulia chakula na kumtafutia mahali pakulala lakini haikuwa hivyo bali alimtendea unyama huo na kuondoka zake bila kumpa msaada wowote, binafsi aliamini angeweza kumsaidia kwani alikuwa akiumwa na ananjaa sana
“ Nilikuwa na kaa mwananyamala
sokoni ambapo nilikuwa najishugulisha nabiashara za ngono lakini skuwahi
kutumika kinyume na maumbile mpaka majuzi hapa nilipo patwa na maumivu makali
baada ya kuingiliwa kwanguvu nakupata maumivu ikabidi nitoroke ilikuweza kupata
matibabu” Alisema Sara huku alikilia
Sara alifika kituo cha polisi
Oyster-bay tarehe 13. Feb. kwaniaya kupata usalama na mahali pakulala kwani
alikuwa akilala kituo cha basi Ubungo bila kupata matibabu yoyote
' Niliwahi kwenda kituo cha polisi
Kinondoni ambapo nilipewa Arabii ilikuwa tarehe 7 hakuweza kusema niyamwezi
wangapi.....ambapo nilienda hospitali ya Mwananyamala nakupata matibabu ambapo
nilishonwa lakini sikuwa nimepona kwajinsi nilivyo umia” Alisema Sara
Hapo awali sara alikuwa akiishi
Mwananyamala sokoni ambapo amesema walikuwa kwenye danguro wakifanya biashara
ya ngono kwa muda wa miaka 14 sasa, nikwa mama mmoja ambaye anajishugulisha na
biashara ya madini na kwa muda huo wote hawakuruhusiwa kutoka nje kabisa
“ Huyu mama anajishugulisha na
biashara ya madini (Jina kapuni) na alinitoa kwetu kwania yakufanya kazi
zandani lakini baada yakufika huku kazi ilibadilika nakuanza kufanya biashara
hiyo” alisema
Sara amesema ndani ya Danguro hilo
kwa gorofa yajuu wako mabinti 10 lakini gorofa yachini ajui niidadi ya
wasichana wangapi wanakaa, pia jengo hilo linalindwa na walinzi wawili na huwa
hawatoki zaidi yakuenda kibara zani. Alisema
POLISI AKANA
Kwakutaka ufafanuzi wa tukio hilo,
Nilimpigia OCD Mtafungwa wakituo cha Oyster-bay ilikujua juu yatukio hilo. Ocd
alionyesha kutojua tukio hilo nakusema kuwa hana taarifa za mtu kama huyo huku
akihaidi kufanya uchunguzi watukio hilo
“ Sifahamu kuusu tukio hilo na kwa
sasa siko ofisini, lakini nitalishugulikia na kusu swala la huyo binti kufika
kituoni sina taarifa za kiofisi kujua kama niyeye unaye mtaja kwa jina
...nipigie baada ya muda nitakuwa ofisini” Alijibu OCD Mtafungwa wa Oyster-bay
Alizidi kueleza, kuna binti ambaye yuko
pake kituo anatatizo kama hilo ila sina uhakika kama ndiye unaye mzungumzia,
kwakuwa nitaenda ofisini nitakupa taarifa zaidi Alisema
Hatahivyo, Taarifa kutoka kwa mtu
wandani wa Jeshi hilo ambaye nitahifadhi jina lake, alinielezea kuwa OCD
wakituo hicho alikuwa natarifa za binti huyo pamoja na tukio alilotendewa kwani
baada ya kuharifiwa juu yatukio hilo aliomba binti huyo apelekwe kituoni hapo
“Huyo binti tumemrudisha kituo cha
Oyster-bay, nakuna taarifa zake za awali nahata danguro hilo alilokuwa akikaa
taarifa zake tayari zilishalifikia Polisi wakituo hicho muda mrefu,
wanafuatilia” kilisema chanzo hicho
Jeshi la Polisi linadawati
lakushugulikia matatizo ya kijinsia ambapo tlimtafuta ilimtafuta mmoja wapo
kutoka kituo cha Polisi Kurasini ambaye sitataja jinalake na alikiri kutokea
kwa tukio hilo huku akisisitiza hata kama nipolisi hayupo juu ya sheria
nakuahidi kulishugulikia tatizo hilo
Kisheria kama wewe ni mtuhuiwa au
sio mtuhumiwa unapofika au kufikishwa mikononi mwa Polisi jukumu la usalama
wako kwao nilakwanza nasio wao kukudhuru wewe kama ambavyo Sara alivyo fanyiwa
unyanyasaji wa kijinsia
Hatahivyo sara alisisitisa zaidi juu
yakupata nauli nakurudi kwao, Licha ya maumivu makali anayopata hivi sasa. Sara
yuko kituo cha Polisi Oyster-bay.
No comments:
Post a Comment