Tuesday, April 30, 2013

PAMBANO LA CHEKA NA MASHALI KILA KITU KIMEKAMILIKA,NI MEI MOSI HII

FRANCIS CHEKA

THOMAS MASHALI

GARIAINA YA NOAHAMBAPO MSHINDI ATAJINYAKULIA GARI HILO

YASSIN ABDALLAH USTAADH AKILIONYESHA GARI LINALOSHINDANIWA NA MABONDIA HAO

RAIS KIKWETE AWASILI MBEYA KWA ZIARA YA SIKU MBILI PIA KUWA MGENI RASMI KESHO KATIKA MEI MOSI


Rais Jakaya Kikwete, leo anaanza ziara ya siku mbili mkoani Mbeya ambapo pia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani maarufu kama Mei Mosi.
Maadhimisho hayo kitaifa mwaka huu yanafanyika  mkoani Mbeya.

 Rais Kikwete, amewasili  kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe saa 4:30 asubuhi.
Awali mkuu wamkoa wa mbeya bw Abbas Kandoro aliwataka wananchi hasa wakazi wa Jiji la Mbeya na vitongoji vyake, kujitokeza kwa wingi kumlaki Rais Kikwete katika maeneo yote aliyotarajia kupita akitokea Uwanja wa Ndege wa Songwe na pia kujitokeza kwa wingi kwenye sherehe za Mei Mosi.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) Mkoa wa Mbeya, Alinanuswe Mwakapala, alisema maandalizi ya sherehe hizo yapo katika hatua nzuri na kuwa anaamini kuwa kutokana na uwapo wa Rais Kikwete kama mgeni rasmi, yatafana kuliko miaka ya nyuma.

Alisema sherehe hizo zinaandaliwa na Tucta na kwa mwaka huu maandalizi yake yanaratibiwa na Chama cha Wafanyakazi wa Meli na Bandari (Dowuta), huku kukiwa na kauli mbiu isemayo: ‘Katiba mpya izingatie usawa na haki kwa tabaka la wafanyakazi’.

Mwakapa alitoa wito kwa waajiri wote kuwaruhusu na kuhakikisha wafanyakazi wao wanashiriki kikamilifu katika sherehe hiyo ili wafikishe madai na vilio vyao kwa waajiri.

Monday, April 29, 2013

RUFAA DHIDI YA JERRY MURRO YAUNGURUMA MAHAKAMA KUU LEO

MTANGAZAJI WA HABARI ZA UCHUNGUZI JERRY MURO AKITOKA NJE YA MAHAKAMA KUU TANZANIA KUSIKILIZA HOJA MBILI ZA SERIKALI ZILIZOTAKA KURUDIWA KWA KESI YAKE UPYA ILIYOKUWA INAMKABILI YA KUOMBA RUSHWA YA MILIONI KUMI,HATA HIVYO HOJA HIZO MBILI ZIMETUPILIWA MBALI NA MAHAKAMA HIYO.

Saturday, April 27, 2013

MSANII JAGUAL WA KENYA ANUNUA NDEGENDEGE INAYODAIWA KUMILIKIWA NA MSANII JAGUAL WA KENYA

MAGARI YA KIFAHARI ANAYOMILIKI JAGUAL
Msanii wa kenya JAGUAL ambae alitoa hitsong ya kigeu geu ambayo alitamba sana hapa nchini na ukanda wote wa afrika mashariki amenunua ndege ndogo,mbali na ndege hiyo Jagual pia anamiliki magari ya kifahari.

Hii ni changamoto kwa wasanii wa hapa nchini na kwa ukanda wote wa afrika mashariki,swali la kujiuliza ni muziki tuu au kuna biashara nyingine?

GODBLESS LEMA ASHIKILIWA NA POLISI MKOANI ARUSHA


MBUNGE WA ARUSHA MJINI MH GODBLESS LEMA AKIZUNGUMZA NA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI

MH GODBLESS LEMA AKIWA KATIKA POZI
Jeshi la polisi mkoani Arusha linamshikilia mbunge wa Arusha mjini Mh Godbless Lema kwa tuhuma za kuchochea wanafunzi wa chuo cha uhasibu Arusha kufanya fujo ikiwa ni pamoja na kumzomea na kumrushia mawe mkuu wa mkoa huo
Habari iliyopatikana kutoka Arusha inasema Mh lema atafikishwa mahakamani siku ya Jumatatu.

YANGA KAMA MAN U,YATWAAUBINGWA MAPEMAAA KABLA LIGI HAIJAISHA

LOGO HALISI YA YANGA
MACHAMPION WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA YANGA
HAPA NI KUMBUKUMBU SIKU YANGA ILIVYOTWAA KOMBE LA KAGAME
KOCHA ALIYEIPA UBINGWA WA MAPEMA YANGA ERNIE BRANDTS ALITUA YANGA AKITOKEA APR YA RWANDA
USHINDI UNA RAHA YAKE BANA
WAKISHANGILIA BAO KATIKA MOJA KATI YA MECHIZILIZOWAPA UBINGWA
KIKOSI KAMILI CHA MABINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA YANGA
HAMISI KIIZA AKISHANGILIA BAO KWA STYLE YA AINA YAKE,AMETOA MCHANGO MKUBWA KATIKA KUPACHIKA MABAO KWA TIMU YAKE
KOCHA WA YANGA ERNIE BRANDTS

Thursday, April 18, 2013

BOB SAMBEKE AAGWA ARUSHA NA KUZIKWA KWAO MOSHI LEO


JENEZA LENYE MWILI WA BOB SAMBEKE

MTOTO WA MAREHEM SAMBEKE,JAMAL AMBAE PIA NI RUBANI AKIFUNGUA JENEZA LENYE MWILI WA BABA YAKE

JAMALAKIFUNGUA JENEZA


MABINTI WA MAREHEM SIA NA GETRUDE

MWILI WA BOB SAMBEKE UKIWA NDANI YA GARI

GARI LILILOBEBA MWILI WA MAREHEMBOB SAMBEKE

NYUMBANI KWA MAREHEM NJIRO ARUSHA
(PICHA KWA HISANI YA SAMBWETI.BLOGSPOT.COM)

DAYS TO REMEMBER:MATUKIO MBALIMBALIKATIKA SIKU YA MTIHANI WA MWISHO TUMAINI UNIVERSITY CLASS OF 2011

DISCUSSIONS ZIKIENDELEA

DADAA GODI GODI NA REHEMA MAGENI WAO WALIKUWA WAMEJICHIMBIA DARASANI DK ZA MWISHO

DK CHACHE KABLA YA KUINGIA KWA PAPER YA MWISHOPAUL JAMES ISSA MWAMBA WAKIWA KATIKA FINAL TOUCHES WANAANGALIA POSSIBLES


BAADA YA MITIHANI TUKAKUTANA PALE DAR CARNIVAL MAMBO YALIKUWA HIVIINA ABDUL KINGO


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...