![]() |
KITENGE AKIPEWA POLE NA WAFANYAKAZI WENZIE ANAEONEKANA KUSHOTO KWAKE NI MAULID KAMBAYA |
![]() |
NIXON,KAMBAYA,PIUS PAUL NA LUGENDO MADEGE WALIKUWA KARIBU SANA NA MAULID KATIKA KUMFARIJI |
![]() |
NASAHA ZA HAPA NA PALE KUTOKA KWA NIXON |
![]() |
MMILIKI WA BLOG HII ABDALLAH MWAIPAYA AKIWA NA IRAQ HUDU BONDIA WA ZAMANI TUKIMPA FARAJA MAULID KITENGE |
![]() |
TULIHAKIKISHA KILA KITU KINAENDA SAWA KWA KUFANYA MAWASILIANO HUKU NA KULE |
![]() |
NYUMBANI KWA KINA KITENGE KISOMO KIKIENDELEA JET LUMO MWISHO WA LAMI |
![]() |
BAADHI YA KINA MAMA WALIOHUDHURIA WAKIWA MSIBANI |
![]() |
MWILI WA MZEE BARAKA ABDALLAH KITENGE UKISWALIWA |
![]() |
MWILI WA MZEE KITENGE UKISWALIWA NJE YA NYUMBA YAKE |
![]() |
MIJADALA YA HAPA NA PALE |
![]() |
MAULID KAMBAYA,LUGENDO MADEGE NA IMANI MADEGA KATIKA PICHA YA PAMOJA |
![]() |
HAPA MADEGA ANAMTANIA MADEGE KUWA ANANG'ARA KWA SABABU JINA LAKE LINA FANANA NA LAKE |
![]() |
SUNDAY KAYUNI MKUU WA BENCHI LA UFUNDI TFF AKITETA JAMBO NA IMANI MADEGA |
![]() |
MWILI UKIONDOLEWA NYUMBANI |
![]() |
MWILI WA MZEE BATRAKA KITENGE UKIONDOLEWA NYUMBANI KUELEKEA MAKABURI YA KISUTU |
![]() |
WAOMBOLEZAJI WAKIJIPANGA KUUBEBA MWILI |
![]() |
MAULID KITENGE AKIPEWA POLE |
![]() |
HUYU NDO MZEE WETU,BABA WA MAULID KITENGE MZEE BARAKA ABDALLAH KITENGE,M/MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI INSHAALLAH |
![]() |
MSAFARA KUELEKEA MAKABURINI KUTOKA JET LUMO,SHUKRANI ZA DHATI KWA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI WALIHAKIKISHA MSAFARA HAUSIMAMI KWENYE FOLENI |
![]() |
SHUGHULI YA UCHIMBAJI WA NYUMBA YA MILELE YA MZEE KITENGE UKIWA KATIKA HATUA YA MWISHO |
![]() |
HAPA NDIPO ALIPO LALA MZEE WETU |
![]() |
WATU WAKIANGALIA SHUGHULI YA UCHIMBAJI WA KABURI ILIVYOKUWA INAENDELEA |
![]() |
MASTER TINDWA AKIWA NA KINYOZI MKUU WA MAULID KITENGE ILIBIDI NIWAPIGE PICHA KWA KUWA WANA FANANA SANA NA SI NDUGU |
![]() |
MWILI ULIVYOKUWA UKIWASILI MAKABURINI |
![]() |
ISSAC GAMBA,MIMI PAMOJA NA MWALIMU WANGU WA MAMBO HAYA YA UTANGAZAJI MIAKA KUMI ILIYOPITA PALE RADIO TANZANIA DAR ES SALAAM,SWEDY MWINYI NILIFURAHI KUKUTANA NAE KWENYE MSIBA HUU |
No comments:
Post a Comment