Sunday, November 10, 2013

TAZAMA PICHA MBALI MBALI ZA TUZO YA MWANASOKA BORA TANZANIA

Zamoyoni Mogella, Kenny Mwaisabula, Shaffih Dauda, Boniface Wambura na Edo Kumwembe






Rais wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), Leodegar Tenga kushoto akimkabidhi tuzo ya Ufungaji Bora mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche kutoka Ivory Coast katika tuzo za gazeti la Mwanaspoti usiku wa jana ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.




Kiungo wa Simba Amri Kiemba akipokea tuzo ya 11 Bora






Haruna Niyonzima akikabidhiwa zawadi yake ya kuwa mwanasoka bora wa Tanzania












Juma Nature Kibla akitumbuiza kwenye tuzo hizo


Rais wa heshima wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wakili Said El Maamry akimkabidhi tuzo ya Mchezaji bora wa Tanzania anayecheza nje, mwakilishi wa mshindi wa tuzo hiyo, Mbwana Samatta wa TP Mazembe ya DRC (PICHA KWA HISANI YA SHAFII DAUDA)

Friday, November 8, 2013

MZEEE ALIYEZIKWA HAI AFUKULIWA AKUTWA AMEKUFA MWILI WAKABIDHIWA NDUGU NA KUUZIKA UPYA TUNAOMBA RADHI KWA PICHA MTAKAZOZIONA


SHUGHULI ZA UFUKUAJI ZAANZA CHINI YA USIMAMIZI WA JESHI LA POLISI
JUHUDI ZA KUENDELEA KUUFUKUA MWILI WA ALIEZIKWA HAI ZAENDELEA
NI KAZI NI NZITO NA INAHITAJI UVUMILIVU
MWILI WA ALIEZIKWA HAI WAANZA KUONEKANA
MSAMARIA MWEMA ALIYEJITOLEA KUUTOA MWILI BAADA YA KUUKUTA 
MWILI WA MAREHEMU MWAIKASU AMBAYE ALIZIKWA AKIWA HAI UKIENDELEA KUIBULIWA KABURINI
KATIKATI MJANE WA ALIYEZIKWA HAI
MWILI UKIWA TAYARI KWA KUZIKWA UPYA
NDUGU WAKIWA NA SIMANZI 
MOJA YA WANAUSALAMA AKIWASHUKURU NDUGU KWA UVUMILIVU WALIYOUONYESHA KATIKA MSIBA HUU MZITO
ULITOKA KWA UDONGO UTARUDI KWA UDONGO NDIYO NDUGU WA MAREHEMU WALIVYOKUWA WAKISEMA
SHUGHULI YA KUZIKA UPYA IKIENDELEA
SHUGHULI YA MAZISHI IMEKAMILIKA KWA AMANI NA UTULIVU LAKINI HAKUNA WANAKIJIJI WALIYOJITOKEZA KATIKA MSIBA HUU HOFU KUKAMATWA NA DOLA

MAZISHI YA DJ MKONGWE RANKIM RAMADHANI (MZEE NYAMKA )YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM - "R.I.P RADIO DJ"


Marehemu Rankim Ramadhani, enzi za uhai wake.
Gari ambalo lilibeba mwili wa marehemu Rankim likiwasili nyumbani kwao Sinza jiji Dar es Salaam.
Baadhi ya ndugu na jamaa ambao walijitokeza katika safari ya mwisho ya Dj Rankim Ramadhani.
Sala ya mwisho nyumbani ikifanyika nyumbani kwa akina marehemu Rankim, Sinza kwa Remy kabla ya safari ya makaburini.
 Dj D White (mwenye kofia nyeusi), Abubakari Sadiq na Abdallah Mwaipaya (kushoto) wote wa Radio One, wakijiandaa kubeba mwili wa marehemu Rankim kwa safari ya kuelekea makaburi ya Sinza.
Ndugu na jamaa wakishusha kaburini mwili wa Dj Rankim.  
"Du mshikaji ndio ameshaondoka hivyo" ndivyo anavyoonekana akitafakari Dj Peter Moore (mwenye miwani nyeusi) ambaye alifanya kazi na Dj Rankim katika ukumbi wa Zhong Hua Garden, Kinondoni Morocco DSM.
Dj Bony Kilosa aka Bony love (kulia), Riziki Nyoni (mwenye shati jeupe) na Mully Mkinga (mwenye miwani) wakiwa na waombolezaji wengine katika makaburi ya Sinza.
Mkurugenzi wa Radio One, Deo Rweyunga akiwa na naibu mkurugenzi wa radio one Isack Gamba wakijadili jambo baada ya mazishi ya Dj Rankim Ramadhani makaburini Sinza.
 Dj Kimm wa East Africa Radio (mwenye fulana nyeusi) akiwa na waombolezaji wengine makaburini Sinza.

 Picha chini na juu ni ndugu na jamaa ambao walijitokeza kumpumzisha mpendwa wao, Dj Rankim a.k.a. Radio DJ.

Mtangazaji wa zamani aliyefanya kazi pamoja na marehemu Rankim katika kituo cha Radio One, Misanya Bingi (mwenye miwani) alikuwepo katika mazishi hayo.

Prosper Njau (kulia) na na Eliud Pemba wakiwa katika mazishi hayo.picha kwa hisani ya shaaban tolle

Saturday, November 2, 2013

HIKI NDICHO ALICHOKISEMA HUDDAH MONROE KUHUSU PENZI LA WEMA SEPETU NA DIAMOND PLATINUMZ.


Huddah Monroe
Huddah Monroe ambaye ni model na aliyekuwa mwakilishi wa Kenya katika shindano la Big Brother Africa 2013(The Chase) ameamua kutoa yaliyo moyoni mwake katika penzi la Diamond Platinumz na Wema Sepetu akimwambia Diamond kama Wema ndiyo chaguo lake basi asisikilize ya watu wengine ila waendelee na penzi lao, Huddah pia amempa Wema pole ya kumpoteza baba yake mzazi. Kupitia mtandao mmoja wa kijamii leo Huddah aliandika na kuweka picha ya Wema "huyu Dame wako ,kipenzi chako.For life ,let nobody tell u otherwise.Hao wengine wapita njia tuu .God bless the two of u.RIP to her dad,I know how it feels to lose someone so dear to u.Take heart Ms Boss.I heart you!"


RAIS WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU JAMALI MALIZI AKABIDHIWA MIKOBA LEO


rAIS MSTAFU WA TFF SIR LEORDIGA TENGA AKITOA NASAHA ZAKE WAKATI WA MAKABIDHIANO NA UONGOZI MPYA WA CHAMA HICHO LEO  KUSHOTO NI RAIS  WA TFF JAMALI MALINZI LEO

BAADHI YA VIONGOZI WAPYA NA WALIOMALIZA MUDA WAO WA TFF WAKIMSIKILIZA RAIS WA TFF JAMALI MALINZI HAYUKO KWENYE PICHA MARA BAADA YA MAKABIDHIANO YA OFISI  LEO

RAIS WA TFF JAMALI MALINZI KUSHOTO AKIPOKEA NYARAKA ZA MASWALA MBALIMBALI YALIYOKUWA YANASOMWA NA RAIS MSTAAFU WA TFF SIR LEORDIGA TENGAMARA BAADA YA KUKABIDHI OFISI KWA UONGOZI MPYA LEO

BAADHI YA VIONGOZI WA TFF WAPYA NA WALIOMALIZA MUDA WAO WAKIWA KWENYE HAFLA YA MAKABIDHIANO LEO

RAIS WA TFF JAMALI MALINZI AKIONGEA NA KUTOA NASAHA ZAKE MBELE YA VIONGOZI WAPYA NA WALIOMALIZA MUDA WAO WA CHAMA HICHO WAKATI WA MAKABIDHIANO YA OFISI LEO

RAIS MSTAFU WA TFF LEORDIGA TENGA AKITETA JAMBO NA RAIS WA TFF JAMALI MALINZI MARA BAADA YA MAKABIDHIANO YA OFISI  LEO

RAIS MPYA WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TFF JAMALI MALINZI AKITOA NASAHA ZAKE MARA BAADA YA KUKABIDHIWA OFISI YAKE  PAMOJA MASWALA MBALIMBALI YA CHAMA HICHO LEO

HONGERA SANA FATMA ALMASI NYANGASA KWA KULAMBA NONDO TUMAINI UNIVERSITY

FATMA ALMAS NYANGASSA MARA BAADA YA KULAMBA NONDO YAKE YA KWANZA TUMAINI UNIVERSITY,NONDO YA MAWASILIANO YA UMMA,HONGERA SANA NA JIONI TUNAUNGANA NAE KWENYE MNUSO PALE MEMORIAL HOUSE MIKOCHENI B OPPOSITE NA FEZA PRIMARY SCHOOL,SAAAFI SANA NA HONGERA KWA KUVUMILIA SUPPLIMENTARIES,KAZI NA FAMILIA HADI UMETIMIZA NDOTO ZAKO

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...