Tuesday, December 17, 2013

AJALI YA TRENI NA GARI ENEO LA HAZINA DODOMA

GARI LILILOGONGANA NA TRENI ENEO LA HAZINA DODOMA

ASKARI WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI WAKITAFAKARI JAMBO BAADA YA AJALI

ENEO LA TUKIO HUKU BAADHI YA WATU WAKIPIGA PICHA NA DEREVA WA GARI HILO ALIJERUHIWA VIBAYA

Monday, December 16, 2013

MIUNDOMBINU MIBOVU JIJINI DAR HUONEKANA PINDI MVUA ZINAVYONYESHA,TAZAMA PICHA HIZI ZILIVYONASWA NA CAMERA YETUP





PICHA NA MAULID KAMBAYA

BOMOA BOMOA YA TANROADS KUPISHA UTANUZI WA BARABARA TABATA AROMA

WANANCHI WAKIKISHANGAA KIJIKO KILICHOKUWA KINABOMOA BAADHI YA NYUMBA MITAA YA TABATA AROMA

UBOMOAJI UKUENDELEA

BAADA YA KUBOMOLEWA

MAOFISA WA TANROADS WAKISIMAMIA ZOEZI

KATAPILLA LIKIFANYA KAZI YAKE MITAA YA TABATA AROMA

KAZI IKIENDELEA(PICHA NA MAULID KAMBAYA)

AJALI KATIKA DARAJA LA MLALAKUA

MTU AMBAE HAKUFAHAMIKA JINA LAKE MARA MOJA ANAONEKANA AKIELEA JUU YA MTO MARA BAADA YA KUPATA AJALI KATIKA DARAJA LA JKT MLALAKUWA NA KUPOTEZA MAISHA PAPO HAPO PEMBENI YAKE NI GARI ALOKUWA NAYO

TAZAMA PICHA ZA MATUKIO MBALI MBALI KWENYE MAZIKO YA MZEE MANDELA

WINNIE NA CLACA MACHEL

JENEZA LA MZEE MANDELA LIKIWA TAYARI LIMESHUSHWA KABURINI


MSAFARA WA KUELEKEA MAKABURINI





RAIS WA AFRICA KUSINI JACOB ZUMA KATIKA MAJONZI WAKATI JENEZA LA MZEE MANDELA LIKISHUSHWA KABURINI

RAFIKI MKUBWA WA MZEE MANDELA NA MPINGA UBAGUZI WA RANGI AHMED KATHRADE AKIZUNGUMZA NA RAIS MSTAAFU WA NCHI HIYO THABU MBEKI



TARATIBU ZA KIMILA ZIKIFANYIKA AMBAPO BENDERA YA NCHI HIYO ILITOLEWA NA JENEZA KUFUNIKWA NGOZI YA NG'OMBE




WINNIE NA CLACA


WAKATI MGUMU WINNIE NA CLACA WAKIWA NA MAJONZI TELE



RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPATA FURSA YA KUHUTUBIA KABLA MZEE MANDELA HAJAZIKWA

RAIS MSTAAFU WA ZAMBIA KENETH KAUNDA NAE ALIPATA FURSA YA KUMZUNGUMZIA MZEE MANDELA

KENNETH KAUNDA


Wednesday, December 11, 2013

BAADHI YA PICHA WAKATI WA SALAAM ZA RAMBI RAMBI ZA KIFO CHA MZEE NELSON MANDELA KATIKA UWANJA WA FNB

RAIS WA MAREKANI BARAK OBAMA AKIZUNGUMZA

RAIS WA AFRICA KUSINI JACOB ZUMA


FAMILIA YA MZEE NELSON MANDELA

MAMA WINNIE MANDELA MKE WA ZAMANI WA MZEE MANDELA

WANANCHI

ASKOFU MSTAAFU WA KANISA LA  ANGLIKAN DESMOND TUTU AKIKUMBATIANA NA RAIS WA NCHI HIYO

RAIS THABO MBEKI NA MKEWE

UWANJA WA FNB ULIKUWA NA ULINZI MKALI WA WANAJESHI

PICHA YA SIKU :YALE MAMBO MAZURI AMBAYO MNAYAONA KWENYE TV NI KAZI NZURI YA MMOJA WA MAJEMBE YA ITV

 BABA YUPO KAZINI, huyu ni mpigapicha wa ITV, Idrisa Magomeni, akitafuta shoti itakayomfurahisha bosi wake na watazamaji wake pia.....

Friday, December 6, 2013

ALICHOKISEMA BARACK OBAMA KUHUSU KIFO CHA NELSON MANDELA

Nelson Mandela 1918-2013
Rais Barack Obama wakati akizungumza kuhusu kifo cha Nelson Mandela

''Mimi ni miongoni mwa mwa mamilioni ya watu duniani ambao tulivutiwa na maisha ya Mandela,kitu cha kwanza  kukifanya katika maisha yangu ya siasa,ni kushughulikia suala  la kupinga sera na siasa za ubaguzi wa rangi,nilijifunza mengi kuhusu hili kutokana na kauli zake na maandiko yake mbalimbali.Siku aliyoachiwa huru kutoka gerezani,ilinipa hisia na imani kwamba binadamu anaweza kufikia malengo yake pale anapoongozwa na matumaini na hawezi kufanikiwa pale anapotawaliwa na uoga.Kama ilivyo kwa watu wengine ulimwenguni,nashindwa kupata picha ni jinsi  maisha yangu binafsi yatakavyokuwa bila ya uwepo wa maisha ya Mandela,na mandhari bado nipo hai,nitajitahidi kwa kadri niwezavyo nifanye yale niliyojifunza kutoka kwake''--Barack Obama

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...