| Mussa Jallow,Juanita Mramba mwenye blue na Chip G Kunze maafisa kutoka bank ya standard charterdwakiskiza kwa makini maelezo khusu utayarishaji wa vipindi |
| Sophia na Nasser wa EATV wakitoa maelezo kuhusu namna kituo hicho kinavyofanya kazi |
| Macharia Koigi mkurugenzi wa ITV,akitoa maelezo kwenye blue studio namna inavyotumika,kulia kabisa ni mtendaji mkuu wa standared charterd bank Liz Lloyd akifuatilia maelezo kwa makini. |
| Mkurugenzi mtendaji wa ITV/Radio One Joyce mhaville akiwa na mtendaji mkuu wa bank hiyo Liz Lloyd na maofisa wengine wakifuatilia maelezo kwenye moja ya vyumba vya matangazo |
| Mkurugenzi mtendaji wa ITV/Radio one Joyce Mhaville akitoa maelezo kwa mtendaji mkuu wa bank ya standard charterd Liz Lloyd jinsi vyombo vya habari vya IPP vinavyofanya kazi |
| Mkurugenz Mtendaji wa ITV/Radio one Joyce Mhaville akifurahia jambo na maofisa wa bank ya standard charterd kwenye studio za kisasa za kurushia taarifa za habari ITV. |

No comments:
Post a Comment