![]() |
JENGO LA GHOROFA14 LIKIWA LIMEANGUKA LOTE |
![]() |
WAOKOAJI WAKITAFAKARI NAMNA YA KUFANYA KUOKOA WATU WALIOFUNIKWA NA KIFUSI |
![]() |
HARAKATI ZA UOKOAJI ZIKIENDELEA |
![]() |
PILIKAPILIKA ZA UOKOAJI ZIKIENDELEA |
![]() |
WAKAZI HAWA WA ENEO KARIBU NA JENGO LILILOANGUKA WAKIJITAHIDI KUITA WAOKOAJI WANAHISI ENEO HILOKUNA MTU |
![]() |
WAKAZI WA ENEO HILO WAKIJITAHIDI KUFUKUA KIFUSI ILI KUTAFUTA WATU WANAOHOFIWA KUFUNIKWA NA KIFUSI HICHO |
![]() |
JENGO HILI LIPO KARIBU KABISA NA JENGO LILILOANGUKA NALO LINA GHOROFA 14 NA INASEMEKANA LINAMILIKIWA NA MTU MMOJA NA JENGO LILILOANGUKA |
![]() |
UMATI WA WATU UKISHUHUDIA HALI HALISI ENEO LA TUKIO |
![]() |
GARI LILILOKUWA KARIBU NA JENGO LILILOANGUKA LIKIWA LIMEHARIBIWA VIBAYA NA KIFUSI .(PICHA ZOTE KWA HISANI YA SUFIANIMAFOTO.COM) |
No comments:
Post a Comment