| MAJERUHI WA AJALI HIYO |
| MAJERUHI WAKIHOJIWA NA WANAHABARI |
| LORI HILO LINAVYOONEKANA KWA NYUMA |
| LINAVYOONEKANA KWA MBELE |
| DAMU ZA WATU WALIOKUWA KWENYE GARI HILO |
| VIONGOZI NA BAADHI YA WAFANYAKAZI WA KAMPUNI HIYO YA KICHINA WAKIJADILIANA JAMBO |
| DAMU IKIWA IMETAPAKAA ARDHINI BAADA YA AJALI(picha na mbeya yetu) |
Katika eneo la tukio watu wawili waliofariki walitambuliwa na mmoja hajatambuliwa kutokana na kuharibika vibaya.
.

No comments:
Post a Comment