![]() |
| Baada ya kumaliza mafunzo yake nchini Mexico, Nathan Mpangala alipata nafasi ya kutembelea Marekani. Hapa akikata mitaa ya Central Park South, New York. |
![]() |
| 3 Hapa akiwa Mtaa wa 34 ambako kuna mjengo maarufu wa Empire State |
![]() |
| Pia akapenyapenya na kuibukia kifuu almaarufu cha Madison Square Garden, uliyopo jimbo la New York. |
![]() |
| Mpakani mwa vitongoji vya Manhattan na Bronx jimboni New York |
![]() |
|
Pembeni mwa uwanja maarufu wa
baseball uliyopo Bronx jimboni NewYork.
|
![]() |
| ‘Mgahawa wangu’ uliyopo pua na mdomo na kifuu cha Madison Square Garden, New York |
![]() |
| New York bus tour katika chochoro za New York |
![]() |
| New York bus tour mitaa ya Times Square, New York. |










No comments:
Post a Comment