![]() |
| BAADHI YA WANANCHI ENEO LA KIA WAKIJAZA MAGALONI YAO MAFUTA BAADA YA LORI LA MAFUTA KUPATA AJALI KATIKA ENEO HILO |
![]() |
| IDADI KUBWA YA WANANCHI WAKIGOMBEA KUCHOTA MAFUTA,HII NI HATARI NA BADO HATUJAJIFUNZA KUTOKANA NA MATUKIO YA AINA HII AMBAYO YALISHAGHARIMU MAISHA YA WATANZANIA WENGI SANA MKOANI MBEYA |
![]() |
| FOLENI ENEO LA AJALI |
![]() |
| WENGINE WALIKUWA MASHUHUDA TU |
![]() |
| ASKARI WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI AKIPIMA AJALI |
![]() | |
| MABASI YA ABIRIA YALIKWAMA KWA MUDA ENEO LA TUKIO (habari na picha kwa hisani ya mdau wa blog hii gift shine) |
Chanzo cha ajali hiyo inasemekana ni mwendo kasi na lori hilo lilikuwa linataka kulipita gari lingine ndipo likakosa mwelekeo na kupinduka








No comments:
Post a Comment