![]() |
ASKARI WA KIKOSI CHA ZIMA MOTO WAKIENDELEA NA JUHUDI ZA UZIMAJI WA MOTO ULIOTEKETEZA KABISA MGAHAWA WA SAMAKI SAMAKI |
![]() |
MAJI YA KIKOSI CHA ZIMA MOTO YAKIZIMA MOTO KWENYE MOJA YA NGUZO ZILIZOSHIKA MOTO |
![]() |
WANANCHI WA MITAA YA MBEZI WAKIANGALIA JINSI MOTO ULIVYOKUWA UNATEKETEZA SAMAKI SAMAKI |
![]() |
JUHUDI ZA UZIMAJI ZIKIENDELEA |
![]() |
HALI ILIVYO ENEO LA TUKIO |
![]() |
SAKI SAMAKI MBEZI IKIWA IMETEKETEA KABISA |
![]() |
MABAKI YA SAMAKI SAMAKI MBEZI |
![]() |
HIVI NDIVYO SAMAKI SAMAKI MBEZI ILIVYOBAKI |
![]() |
ASKARI WA KIKOSI CHA ZIMA MOTO WAKIENDELEA NA HARAKATI ZA UZIMAJI |
No comments:
Post a Comment