Rais Kikwete akiwa akiwa katika picha ya pamoja na Msanii wa Filamu na Bongofleva,Hemed Suleiman.
Rais Kikwete akiwa katika picha ya kumbukumbu na mmoja wa Watangazaji machachari wa Clouds FM,TV,Mbwiga Mbwiguke.…
Rais Kikwete akiwa akiwa katika picha ya pamoja na Msanii wa Filamu na Bongofleva,Hemed Suleiman.
Rais Kikwete akiwa katika picha ya kumbukumbu na mmoja wa Watangazaji machachari wa Clouds FM,TV,Mbwiga Mbwiguke.
Rais Kikwete akiwa akiwa katika picha ya pamoja na Msanii Mkongwe wa Bongofleva,Gwamaka Kaihula a.k.a King Crazy G K.
Rais
Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Msanii wa bongofleva na
muigizaji wa Filamu hapa nchini,atambulikae kwa jina la kisanii Zuwena
Mohamed a.k.a. Shilole.
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Wasanii wa Bongofleva,Ally Kiba na mdogo wake Abdull Kiba.
Mke
wa Rais,Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
wasanii wa muziki wa Bongofleva mara baada ya kufturu.Kutoka
kushoto,Snura,Keisha,Mwasiti,aliyechuchumaa ni Shilole,Dj Fetty
,Mwanahawa Abdul a.k.a Quee Doreen.
Wasanii
wa muziki wa kizazi kipya pichani shoto Mwasiti Almas na kulia Zuwena
Mohamed a.k.a Shilole wakiwa sambamba na Mtangazaji wa Clouds FM,Dj
Fetty wakipakua ftari kufuatia mualiko wa Rais Kikwete kwenye viwanja
vya Ikulu,jijini Dar jana.
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya a.k.a Bongofleva wakipata ftari
kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar jana kufuatia mualiko wa Rais
Kikwete.
Rais
Kikwete akisalimiana na msanii wa bongofleva,Lawrence Malima a.k.a
Marlow,kulia kwake ni Ally Kiba pamoja na Abdul Kiba na kushoto ni
Mtangazaji wa East Africa Radio,Samisango
Rais
Kikwete akisalimiana na msanii wamuziki wa kizazi kipya,Chege Chigunda
na kulia kwake ni msanii wa bongofleva,Cassim Mganga,wakati wa kupata
ftari jana jioni kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar.
Rais
Kikwete akiwasabahi baadhi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya,mara
baada ya kupata ftari mapema jana jioni kwenye viwanja vya Ikulu jijini
Dar,Rais Kikwete aliwaalika wasanii mbalimbali kupata ftari ya pamoja
Ikulu jana jioni.(picha zote na global publishers)
No comments:
Post a Comment