Friday, May 3, 2013

NATHAN MPANGALA AKA "KIJAST" KATIKA MAFUNZO NCHINI MEXICO NA ZIARA YA MAREKANI


 Mchora vibonzo mashuhuri nchini Nathan Mpangala, wa pili kulia akishiriki mafunzo ya utengenezaji video fupifupi zihusuzo migogoro isiyo na mapigano iliyofanyika mwezi uliopita nchini Mexico. Mafunzo hayo yaliyoshirikisha washiriki 80 kutoka nchi mbalimbali yalitolewa na School of Authentic Journalism ya nchini humo.

Baada ya kumaliza mafunzo yake nchini Mexico, Nathan Mpangala alipata nafasi ya kutembelea Marekani. Hapa akikata mitaa ya Central Park South, New York.

3 Hapa akiwa Mtaa wa 34 ambako kuna mjengo maarufu wa Empire State

Pia akapenyapenya na kuibukia kifuu almaarufu cha Madison Square Garden, uliyopo jimbo la New York.

Mpakani mwa vitongoji vya Manhattan na Bronx jimboni New York


Pembeni mwa uwanja maarufu wa baseball uliyopo Bronx jimboni NewYork.

‘Mgahawa wangu’ uliyopo pua na mdomo na kifuu cha Madison Square Garden, New York

New York bus tour katika chochoro za New York

New York bus tour mitaa ya Times Square, New York.

CHEKA ALIVYOMSURUBU MASHALI PTA KWA KNOCK OUT ROUND YA 10




CHEKA AKISHEREHEKEA USHINDI,picha na super d  boxing coach

Wednesday, May 1, 2013

MATUKIO MBALIMBALI WAKATI JK AKIPOKELEWA UWANJA WA SONGWE MBEYA


WANANCHI WAKISUBIRI KWA HAMU KUMPOKEA RAIS KIKWETE


MBUNGE WA VITI MAALUM CCM MARY MWANJELWA AKITETA JAMBO NA MKE WA PROF MWANDOSYA
MH RAIS AKIWAPUNGIA WANANCHI

MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI AKIFURAHIA JAMBO

MKUU WA MKOA WA MBEYA ABBAS KANDORO AKISALIMIANA NA MEYA WA MJI WA MBEYA KABLA RAIS HAJAWASILI

AKISALIMIANA NA VIONGOZI MBALI MBALI MKOANI MBEYA



RAIS AKISALIMIANA NA WANANCHI
MKUU WA MKOA WA MBEYA AKISALIMIANA NA MBUNGE WA MBEYA MJINI MH JOSEPH MBILINYI

NDEGE ILIYOMBEBA MH RAIS KIKWETE IKITUA KWENYE UWANJA WA SONGWE

RAIS KIKWETE AKISHUKA KWENYE NDEGE (picha zote kwa hisani ya mbeya yetu blog)






















Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...