Kamanda
wa polisi mkoa wa Kigoma Frasser Kashai akiwaonesha waandishi wa
habari, Moja ya silaha ya kivita aina ya SMG iliyotelekezwa na wahalifu
baada ya kukurupushwa na polisi.
Silaha
mbili za kivita aina ya SMG zilizokamatwa na polisi baada ya watuhumiwa
walikuwa wakizimiliki kinyume cha sheria na kuzitumia kwa uhalifu,
kukimbia na kuzitelekeza baada ya kuwaona polisi katika wilaya ya
Kibondo.
No comments:
Post a Comment