Thursday, August 22, 2013

PICHA ZA MATUKIO MBALI MBALI YA MAZIKO YA BABA YAKE MAULID KITENGE
KITENGE AKIPEWA POLE NA WAFANYAKAZI WENZIE ANAEONEKANA KUSHOTO KWAKE NI MAULID KAMBAYA

NIXON,KAMBAYA,PIUS PAUL NA LUGENDO MADEGE WALIKUWA KARIBU SANA NA MAULID KATIKA KUMFARIJI


NASAHA ZA HAPA NA PALE KUTOKA KWA NIXON

MMILIKI WA BLOG HII ABDALLAH MWAIPAYA AKIWA NA IRAQ HUDU BONDIA WA ZAMANI TUKIMPA FARAJA MAULID KITENGE

TULIHAKIKISHA KILA KITU KINAENDA SAWA KWA KUFANYA MAWASILIANO HUKU NA KULENYUMBANI KWA KINA KITENGE KISOMO KIKIENDELEA JET LUMO MWISHO WA LAMI

BAADHI YA KINA MAMA WALIOHUDHURIA WAKIWA MSIBANI

MWILI WA MZEE BARAKA ABDALLAH KITENGE UKISWALIWA

MWILI WA MZEE KITENGE UKISWALIWA NJE YA NYUMBA YAKE

MIJADALA YA HAPA NA PALE


MAULID KAMBAYA,LUGENDO MADEGE NA IMANI MADEGA KATIKA PICHA YA PAMOJA

HAPA MADEGA ANAMTANIA MADEGE KUWA ANANG'ARA KWA SABABU JINA LAKE LINA FANANA NA LAKE

SUNDAY KAYUNI MKUU WA BENCHI LA UFUNDI TFF AKITETA JAMBO NA IMANI MADEGA

MWILI UKIONDOLEWA NYUMBANI


MWILI WA MZEE BATRAKA KITENGE UKIONDOLEWA NYUMBANI KUELEKEA MAKABURI YA KISUTU

WAOMBOLEZAJI WAKIJIPANGA KUUBEBA MWILI

MAULID KITENGE AKIPEWA POLE

HUYU NDO MZEE WETU,BABA WA MAULID KITENGE MZEE BARAKA ABDALLAH KITENGE,M/MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI INSHAALLAH

MSAFARA KUELEKEA MAKABURINI KUTOKA JET LUMO,SHUKRANI ZA DHATI KWA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI WALIHAKIKISHA MSAFARA HAUSIMAMI KWENYE FOLENI


SHUGHULI YA UCHIMBAJI WA NYUMBA YA MILELE YA MZEE KITENGE UKIWA KATIKA HATUA YA MWISHO


HAPA NDIPO ALIPO LALA MZEE WETUWATU WAKIANGALIA SHUGHULI YA UCHIMBAJI WA KABURI ILIVYOKUWA INAENDELEA

MASTER TINDWA AKIWA NA KINYOZI MKUU WA MAULID KITENGE ILIBIDI NIWAPIGE PICHA KWA KUWA WANA FANANA SANA NA SI NDUGU

MWILI ULIVYOKUWA UKIWASILI MAKABURINI


ISSAC GAMBA,MIMI PAMOJA NA MWALIMU WANGU WA MAMBO HAYA YA UTANGAZAJI MIAKA KUMI ILIYOPITA PALE RADIO TANZANIA DAR ES SALAAM,SWEDY MWINYI NILIFURAHI KUKUTANA NAE KWENYE MSIBA HUU

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...