Monday, May 13, 2013

AJALI YAUA MMOJA NA WENGINE WANNE WAJERUHIWA MBALIZI MKOANI MBEYA

SHEHENA YA UNGA WA NGANO ULIOKUWA KATIKA LORI HILO

MAJERUHI WAKISAIDIWA NA WASAMARIA WEMAZ

UTINGO WA LORI SELEMANI JUMA SELEMANI AKIWA AMEBANWA NA GARI HILO NA KUFARIKI PAPO HAPO


ASKARI WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI  AKIPIMA AJALI


WANANCHI WAKISHANGAA ENEO LA TUKIO

GARI LA KUBEBA VIFAA VIZITO CRANE LIKIINUA GARI LILILOANGUKA

GARI LA FIRE LILILOFIKA ENEO LA TUKIO KUTOA MSAADA WA UOKOAJI

WASAMARIAWEMA WAKIWAOKOA MAJERUHI WA AJALI HIYO(picha na mbeya yetu)
Mtu mmoja amekufa papo  hapo na wengine wanne wamejeruhiwa vibaya,baada ya lori lililokuwa likisafirisha unga wa ngano kutoka Dar es Salaam kwenda Zambia kupinduka katika mteremko wa mlima Mbalizi mkoani Mbeya,
Mmoja wa mashuhuda wa ajali hiyo bwana Hashim Omary,amemtaja alifariki dunia kuwa ni Selemani Juma Selemani ambaye ni utingo wa lori hilo na amesema chanzo cha ajali hiyo ni lori hilo lilipopoteza mwelekeo baada ya breki zake kushindwa kupunguza mwendo kulikwepa gari lingine ambalo lilikuwa limeharibika na hivyo kuingia mtaroni na kupinduka

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...