|
MKURUGENZI WA ULINZI NA USALAMA WA CHADEMA WILFRED LWAKATARE AKIWA CHINI YA ULINZI WA POLISI |
MKURUGENZI WA ULINZI NA USALAMA WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA BW WILFRED LWAKATARE ALIEKUWA ANAKABILIWA NA MASHTAKA MANNE,AMEFUTIWA MASHTAKA MATATU NA KUBAKIWA NA SHTAKA MOJA LA KULA NJAMA YA KUMLISHA SUMU MHARIRI WA GAZETI LKA MWANANCHI BW DEUS MSAKI
No comments:
Post a Comment