![]() |
KANISA KATOLIKI PAROKIA YA OLASISI KULIPOTOKEA MLIPUKO HUO |
![]() |
MEYA WA MANISPAA YA ARUSHA AKIWASILI ENEO LA TUKIO |
![]() |
POLISI WALIKUWEPO KUIMARISHA USALAMA |
![]() |
ENEO LINAKOSADIKIWA KUANGUKAKITU KINACHODHANIWA NI BOMU BAADA YA KULIPUKA |
![]() |
JAMAA HUYU ALIJERUHIWA VIBAYA NA MLIPUKO HUO |
![]() |
HALI YA TAHARUKI ILIWAKUMBA WAKAZI WENGI WA ARUSHA HIVYO WENGI WALIKUWA WANAKIMBILIA ENEO LA TUKIO KUSHUHUDIA NA KUWATAFUTA NDUGU NA JAMAA WALIOKUWEPO KWENYE TUKIO |
![]() |
POLISI WAKITAFAKARI |
![]() |
KATIKA TUKIO HILI WATU WENGI WAMEUMIA MIGUU |
HALI ILIVYOKUWA MARA TU BAADA YA MLIPUKO(PICHA KWA HISANI YA BLOG MBALIMBALI) |
No comments:
Post a Comment