Wednesday, May 15, 2013

ULAJI WA WADUDU HUENDA UKASAIDIA DUNIA KUKABILIANA NA UHABA WA CHAKULA-UN


SENENE NI WADUDU JAMII YA PANZI WANAOLIWA SANA MKOANI KAGERA
Ulaji zaidi wa wadudu huenda ukasaidia dunia kukabiliana na uhaba wa chakula, hii ni kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na umoja wa Mataifa.

Ripoti hiyo iliyotolewa na shirika la chakula na kilimo na UN, inasema kuwa kula wadudu huenda kukasaidia kuboresha afya na kupunguza idadi ya watu wanaokufa kwa njaa .

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...