Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Bw. David Misime akiachana na gari lake na kuungana na na
kikundi cha ulinzi shirikishi kilichofahamika kwa jina la Mwananzele
kilichopo katika kijiji cha Mbori kata ya Matomondo wilaya ya Mpwapwa
mkoani Dodoma, waliokwenda kumpokea akiwa njiani kabla ya kufika
kijijini hapo kwa ajili ya kuongea na wanakijiji hao masuala mbalimbali
yahusuyo ulinzi na usalama wa watu na mali zao.
Wazee wa Kimila wa Kijiji cha Mbori
katika kata ya Matomondo wilayani Mpwapwa, wakimvika vazi rasmi na
kumkabidhi mkuki Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Bw. David Misime Kama
ishara ya kumtambua rasmi kuwa kamanda na mlezi wa kikundi cha ulinzi
shirikishi cha mwananzele katika kata hiyo.
Wanakijiji wa Mbori katika Kata ya Matomondo Wilayani Mpwapwa wakimsikiliza kwa makini Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Dodoma Bw. David Misime, ambaye alikuwa akiwahutubia
wanakijiji hao kuhusu miradi mbalimbali Iliyopo katika mpango wa Polisi
jamii na Ulinzi shirikishi juu ya umuhimu na faida zake kwa jamii hiyo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Bw. David Misime akishiriki na
kikundi cha ulinzi shirikishi kilichofahamika kwa jina la Mwananzele
kilichopo katika kijiji cha Mbori kata ya Matomondo wilaya ya Mpwapwa
mkoani Dodoma, waliokwenda kumpokea akiwa njiani kabla ya kufika
kijijini hapo kwa ajili ya kuongea na wanakijiji hao masuala mbalimbali
yahusuyo ulinzi na usalama wa watu na mali zao.
Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Dodoma Bw. David Misime, akifanya Ukaguzi kwa askari
wa kikundi cha ulinzi shirikishi cha Mwananzele cha kijiji cha Mbori kata ya Matomondo wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, kuangalia na kujua ukakamavu wao uko imara kiasi gani.

No comments:
Post a Comment