Friday, August 9, 2013

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AKUTANA NA BALOZI WA KENYA OFISINI KWAKE



Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Kenya Nchini Tanzania Balozi Mutinda Mutiso hapo Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.




Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwasilisha salamu za pole kwa Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Balozi Mutinda Mutiso kufuatia uwanja wa ndege wa Kimataifa wan chi hiyo kukum bwa na Moto.
Pembeni yao kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Mohammed Aboud Mohammed.

 Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Mutinda Mutiso akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Kamusi ya Kiingereza kwa Kiswahili aliyoitunga kwa ajili ya kukuza lugha hiyo pamoja na kusaidia wana diplom

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi Balozi wa Kenya Nchini Tanzania anayemaliza muda wake wa utumishi wa miaka minne zawadi ya kasha kama kumbu kumbu ya kuwepo kwake Nchini.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...