Marehemu Rankim Ramadhani, enzi za uhai wake. |
Gari ambalo lilibeba mwili wa marehemu Rankim likiwasili nyumbani kwao Sinza jiji Dar es Salaam.
Baadhi ya ndugu na jamaa ambao walijitokeza katika safari ya mwisho ya Dj Rankim Ramadhani.
Sala ya mwisho nyumbani ikifanyika nyumbani kwa akina marehemu Rankim, Sinza kwa Remy kabla ya safari ya makaburini.
Dj
D White (mwenye kofia nyeusi), Abubakari Sadiq na Abdallah Mwaipaya
(kushoto) wote wa Radio One, wakijiandaa kubeba mwili wa marehemu Rankim
kwa safari ya kuelekea makaburi ya Sinza.
Ndugu na jamaa wakishusha kaburini mwili wa Dj Rankim.
"Du
mshikaji ndio ameshaondoka hivyo" ndivyo anavyoonekana akitafakari Dj
Peter Moore (mwenye miwani nyeusi) ambaye alifanya kazi na Dj Rankim
katika ukumbi wa Zhong Hua Garden, Kinondoni Morocco DSM.
Dj
Bony Kilosa aka Bony love (kulia), Riziki Nyoni (mwenye shati jeupe) na
Mully Mkinga (mwenye miwani) wakiwa na waombolezaji wengine katika
makaburi ya Sinza.
Mkurugenzi
wa Radio One, Deo Rweyunga akiwa na naibu mkurugenzi wa radio one Isack Gamba wakijadili jambo baada
ya mazishi ya Dj Rankim Ramadhani makaburini Sinza.
Dj Kimm wa East Africa Radio (mwenye fulana nyeusi) akiwa na waombolezaji wengine makaburini Sinza.
Picha chini na juu ni ndugu na jamaa ambao walijitokeza kumpumzisha mpendwa wao, Dj Rankim a.k.a. Radio DJ.
Mtangazaji
wa zamani aliyefanya kazi pamoja na marehemu Rankim katika kituo cha
Radio One, Misanya Bingi (mwenye miwani) alikuwepo katika mazishi hayo.
Prosper Njau (kulia) na na Eliud Pemba wakiwa katika mazishi hayo.picha kwa hisani ya shaaban tolle
No comments:
Post a Comment