Nelson Mandela 1918-2013 |
Rais Barack Obama wakati akizungumza kuhusu kifo cha Nelson Mandela |
''Mimi ni miongoni mwa mwa mamilioni ya watu duniani ambao tulivutiwa na maisha ya Mandela,kitu cha kwanza kukifanya katika maisha yangu ya siasa,ni kushughulikia suala la kupinga sera na siasa za ubaguzi wa rangi,nilijifunza mengi kuhusu hili kutokana na kauli zake na maandiko yake mbalimbali.Siku aliyoachiwa huru kutoka gerezani,ilinipa hisia na imani kwamba binadamu anaweza kufikia malengo yake pale anapoongozwa na matumaini na hawezi kufanikiwa pale anapotawaliwa na uoga.Kama ilivyo kwa watu wengine ulimwenguni,nashindwa kupata picha ni jinsi maisha yangu binafsi yatakavyokuwa bila ya uwepo wa maisha ya Mandela,na mandhari bado nipo hai,nitajitahidi kwa kadri niwezavyo nifanye yale niliyojifunza kutoka kwake''--Barack Obama
No comments:
Post a Comment