H |
MMOJA KATI YA MATAPELI HAO AMBAE NDIYE MMILIKI WA GARI LILILOTUMIKA KUTAPELIA AKIWA KWENYE OFISI YA MPELELEZI KITUO CHA POLISI CHANG'OMBE JIJINI DAR ES SALAAM |
|
GARI BAADA YA KUKAMATWA NA WANANCHI KWENYE FOLENI WALILIHARIBU KAMA LINAVYOONEKANA |
|
WATUHUMIWA WENGINE |
|
GARI BAADA YA KUHARIBIWA NA WANANCHI WENYE HASIRA |
|
GARI YENYE NAMBARI T859 AVV ILIYOTUMIKA KWENYE UTAPELI HUO |
|
WATYUHUMIWA WAKIWA CHINI YA ULINZI POLISI CHANG'OMBE |
|
|
|
|
|
|
|
|
WATU WATANO WANAODHANIWA KUWA NI MATAPELI WALINUSURIKA KIFO BAADA KUPEWA KIBANO NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI BAADA YA KUMUUZIA DADA MMOJA DHAHABU BANDIA.
BAADA YA JKUWAKABIDHI KIASI CHA SHILINGI MILIONI MBILI WATU HAO WAKAONDOKA HARAKA ENEO LA TUKIO WAKIJUA MPANGO WAO UMEKAMILIKA.
MUDA SI MREFU DADA HUYO AKAGUNDUA KUWA DHAHABU ZILE NI BANDIA NDIPO ALIPOKODISHA PIKIPIKI NA KUANZA KUWAFUKUZIA NA KWA BAHATI NZURI KWAKE ALIWAKUTA KWENYE FOLENI ENEO LA CHUMA ROAD KWA KUSHIRIKIANA NA WANANCHI WALIWADHIBITI,NA KWA KUANZA KULIPIGA GARI LAO MAWE,NDIPO POLISI WAKAPATA TAARIFA NA KUFIKA ENEO LA TUKIO NA KUWANUSURU WATU HAO KISHA KUWAFIKISHA KATIKA KITUO CHA POLISI CHANG'OMBE.
No comments:
Post a Comment