Saturday, April 27, 2013

GODBLESS LEMA ASHIKILIWA NA POLISI MKOANI ARUSHA


MBUNGE WA ARUSHA MJINI MH GODBLESS LEMA AKIZUNGUMZA NA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI

MH GODBLESS LEMA AKIWA KATIKA POZI
Jeshi la polisi mkoani Arusha linamshikilia mbunge wa Arusha mjini Mh Godbless Lema kwa tuhuma za kuchochea wanafunzi wa chuo cha uhasibu Arusha kufanya fujo ikiwa ni pamoja na kumzomea na kumrushia mawe mkuu wa mkoa huo
Habari iliyopatikana kutoka Arusha inasema Mh lema atafikishwa mahakamani siku ya Jumatatu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...