Saturday, April 27, 2013

MSANII JAGUAL WA KENYA ANUNUA NDEGE



NDEGE INAYODAIWA KUMILIKIWA NA MSANII JAGUAL WA KENYA

MAGARI YA KIFAHARI ANAYOMILIKI JAGUAL
Msanii wa kenya JAGUAL ambae alitoa hitsong ya kigeu geu ambayo alitamba sana hapa nchini na ukanda wote wa afrika mashariki amenunua ndege ndogo,mbali na ndege hiyo Jagual pia anamiliki magari ya kifahari.

Hii ni changamoto kwa wasanii wa hapa nchini na kwa ukanda wote wa afrika mashariki,swali la kujiuliza ni muziki tuu au kuna biashara nyingine?

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...