KUMETOKEA MLIPUKO MKUBWA KATIKA KANISA KATOLIKI LA MT.YOSEPH MFANYAKAZI PAROKIA YA OLASISI JIJINI ARUSHA ARUSHA NA KUSABABISHA WATU KADHAA KUJERUHIWA WAKATI WA IBADA YA UZINDUZI WA KANISA ILIYOKUWA IKIONGOZWA NA BALOZI WA PAPA ASKOFU FRANCISCO PADILA IKIENDELEA..BLOG HII ITAENDELEA KUKUPA TAARIFA ZAIDI KWA KADRI ZITAKAVYOKUWA ZINATUFIKIA PAMOJA NA PICHA ZA TUKIO HILO
Duh....sasa nini..tena...!!!
ReplyDelete