Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ngao katika mnara wakati wa maadhimisho
ya kumbukumbu ya Mashujaa katika kambi ya jeshi ya Kaboya, Bukoba,
mkoani Kagera Julai 25, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka mkuki katika mnara wakati wa maadhimisho
ya kumbukumbu ya Mashujaa katika kambi ya jeshi ya Kaboya, Bukoba,
mkoani Kagera Julai 25, 2013
Viongozi
wa dini wakisoma dua kwenye maadhimisho hayo. Pembeni ni Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Mohamed Ali Shein,
Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Jaji Mkuu Mheshimiwa Chande
Othman na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Othman Makungu
Rais
Jakaya Kikwete akitembelea makaburi ya mashujaa waliopoteza maisha
wakati wa vita na Nduli Iddi Amini wa Uganda.Katika maadhimisho haya
alikuwepo pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt
Mohamed Ali Shein, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Jaji Mkuu
Mheshimiwa Chande Othman na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Othman MakunguPICHA NA IKULU
Rais
Jakaya Kikwete akisalimiana na Wazee waliopigana vita miaka ya zamani
wakati wa maadhimisho ya kumbukumbu ya Mashujaa katika kambi ya jeshi ya
Kaboya, Bukoba, mkoani Kagera Julai 25, 2013.
Rais
Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri wa Ulinzi,Mh. Shamsi Vuai Nahodha
wakati walipokutana na kwenye maadhimisho ya kumbukumbu ya Mashujaa
katika kambi ya jeshi ya Kaboya, Bukoba, mkoani Kagera Julai 25,
2013.Kulia ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali na wa pili
kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi,Jenerali Davis Mwamunyange. PICHA
NA IKULU
No comments:
Post a Comment