Mkurugenzi
Kitengo cha Mawasiliano, SIKIKA, Bi. Lilian Kallaghe, akiteta jambo na
wachoraji nje ya Jengo la Watoto, Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam,
Jumamosi iliyopita, walipokutanishwa na mradi wa kujitolea wa Wafanye
Watabasamu, uliobuniwa na Nathan Mpangala. Mradi huo ulikwenda kuwafariji,
kuwapa zawadi kisha kuchora na watoto wanaoendelea na matibabu ya saratani
hospitalini hapo, ikiwa ni sehemu ya tiba ya saikolojia. Kutoka kushoto Gadi
Ramadhan (Art director), Nathan Mpangala (ITV, Mratibu Wafanye Watabasamu),
Said Michael ‘Wakudata’ (Tanzania Daima) na Abdul King O ‘Kaboka Mchizi’
(Nipashe). Mengi kuhusiana na mradi huu
|
No comments:
Post a Comment