|
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Mkuu wa
Mkoa wa Mjini Magharibi Abdallah Mwinyi Khamis pamoja na viongozi wengine,
wakati akiwasili nchini akitokea India kwa uchunguzi wa kawaida wa afya yake. |
|
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na viongozi
mbali mbali, wakati akiwasili nchini akitokea India kwa uchunguzi wa kawaida wa
afya yake. |
|
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na viongozi
mbali mbali, wakati akiwasili nchini akitokea India kwa uchunguzi wa kawaida wa
afya yake. |
|
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisawapungia mkono
wananchi waliojitokeza kumpokea, wakati akiwasili nchini akitokea India kwa
uchunguzi wa kawaida wa afya yake. |
|
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisawapungia mkono
wananchi waliojitokeza kumpokea, wakati akiwasili nchini akitokea India kwa
uchunguzi wa kawaida wa afya yake. |
|
Mke
wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Awena Sinani Masoud (kulia),
alionesha uso wa bashasha baada ya kuwasili nchini akitokea India. (picha na
Salmin Said, OMKR | | |
Makamu wa Kwanza wa
Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, leo amewasili nchini akitokea India
alikokwenda kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa kawaida wa afya yake.
Katika uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Zanzibar, Maalim Seif alipokelewa na viongozi mbali mbali
wa Serikali wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa
wa Mjini Magharibi Mhe. Abdallah Mwinyi Khamis.
Aidha mapokezi hayo ambayo
pia yalihudhuriwa na viongozi pamoja na wafuasi wa Chama Cha Wananchi CUF,
yaliambatana na shamra shamra mbali mbali za burudani.
Maalim Seif aliondoka
nchini tarehe 24 mwezi uliopita kuelekea India kwa ajili ya uchunguzi wa
kawaida wa afya yake, utaratibu ambao umekuwa ukifanyika tangu alipofanyiwa
upasuaji wa goti miaka mitatu iliyopita.
No comments:
Post a Comment