Monday, August 19, 2013

MUONEKANO MPYA WA MSIMU WA TATU JOYCE KIRIA NA WANAWAKE LIVE

Baada ya mapumziko ya uzazi, sasa anarejea kwa kishindo ndani ya kipindi hiki pendwa cha Wanawake Live...kipindi hiki cha jkwanza cha msimu huu mpya kitaanza kuruka kesho tarehe 20 Aug 2013, Maoni yako ya Wanawakelive kusambaa maeneo mbalimbali ya Tanzania yamefanyiwa kazi,  so anakuja huko huko uliko si Dar tu na Vijijini zamu yenu imefika...Endelea kutazama kipindi chako cha ukweee,  inaweza kuwa ni maeneo yako unayoishi au kijiji ulichotoka nitapita Insha allah Mungu atupe uhai na wadau wa kushirikiana nao. ila lengo na madhumuni ni kufika sehemu kubwa ya Tanzania na kubadilishana uzoefu kwa maendeleo ya mwanamke wa Tanzania. 
Huu ndo muonekano wenyewe wa Joyce Kiria Wanawake Live...eeeeh Super Woman

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...